• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji

Idara ya Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu ni moja ya idara za Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Idara ina jukumu la jumla la kuratibu shughuli za maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Halmashauri ili kuhakikisha kuwa utekelezaji wa shughuli hizo unaleta tija na ustawi wa jamii katika Halmashauri. Idara inaongozwa na Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya.

Idara imegawanyika katika Sehemu kuu tatu kama ifuatavyo:-

  • Mipango na Sera
  • Ufuatiliaji na Tathmini ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
  • Takwimu

Majukumu mahususi ya idara ni kama ifuatavyo:-

  1. Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya kuhusu masuala ya uchumi na maendeleo ya Halmahauri ya Wilaya.
  2. Kuratibu uandaaji na utekelezaji  wa   Mipango  na program  za  muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu  za Halmashauri ya Wilaya kwa kuzingatia  miongozo na maelekezo ya  Serikali ili kuhakikisha kuwa Dira ya Halmashaauri, Dhima ya Halmashauri , Malengo makuu na mahususi ya Halmashauri yanafikiwa.
  3. Kuratibu ukusanyaji, kuchambuzi, kutafsiri, kuhuisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi na kijamii za Halmashauri ya Wilaya  kwa wadau.
  4. Kutafsiri sera, miongozo  na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na wakati wa kuandaa na kutekeleza Mipango ya Maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya.
  5. Kuchambua, kutathmini na kupendekeza maeneo ya  kipaumbele ya kuwekeza katika sekta za uzalishaji, miundombinu, maendeleo ya jamii na utawala.
  6. Kuandaa Mpango Kazi wa kila mwaka  ( Annual Action Plan ), kuufuatilia utekelezaji wake na kutoa taarifa kwa wadau wa Halmashauri ya Wilaya.
  7. Kuratibu na kufuatilia  utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya na kuandaa taarifa ya utekelezaji wake kila robo mwaka , nusu mwaka na Mwaka mzima.
  8. Kuendeleza na kusimamia shughuli za uwekezaji katika Halmashauri ya Wilaya.
  9. Kuratibu shughuli za maendeleo zinazotekelezwa na wadau mbalimbali wa maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya
  10. Kuratibu maandalizi ya tafiti za upembuzi yakinifu kabla ya uwekezaji katika Halmashauri ya Wilaya.
  11. Kuratibu utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya.
  12. Kuhakikisha kuwa Mipango na Program zote za Maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Wilaya inalandana na Sera za kitaifa za kiuchumi na kijamii.
  13. Kuhuisha na Kusimamia kanzidata ya Halmashauri ya Wilaya.
  14. Kufanya mapitio ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu ya hali ya kiuchumi na kijamii katika Wilaya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHA SHAMBA LA BULYASHIRI LINALOMILIKIWA NA H/W IGUNGA October 03, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI IGUNGA DC September 05, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI MAALUMU YA KUKUSANYA USHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA August 24, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 24, 2020
  • View All

Habari Mpya

  • JOGGING PAMOJA NA MAZOEZI

    March 05, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA MWAKA 2023/2024

    March 05, 2023
  • Mh.Mkuu wa Wilaya Igunga Akabidhi Pikipiki Saba kwa Watendaji wa Kata Wilayani Igunga

    March 01, 2023
  • ZIARA YA KATIBU UENEZI CCM TAIFA WILAYA YA IGUNGA

    September 13, 2022
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa