Halmashauri ya wilaya ya Igunga inakiri imepokea fedha Shilingi Milion Mia nane na Saba na Laki sita na Elfu thelathini (807,630,000/=).Kutoka Serikali Kuu, kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa miundombinu ya vyoo ,vichomea taka (incinerator),shimo la kutupa kondo la nyuma (placenta pit ,shimo la kutupa majivu (ash pit),uboreshaji wa huduma za maji na vyumba vya kujifungulia katika vituo 23 vya kutolea huduma za Afya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa program ya uendelevu wa Huduma za maji na usafi wa mazingira vijijini (Sustainable Rural Water Supply and Sanitation- SRWSS).
Uongozi wa Halmashauri na Wananchi kwa jumla wanaishukuru Serikali ya awamu ya sita,inayoongozwa na Mhe; Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuiletea Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Fedha nyingi kwa kuimarisha huduma ya Afya kwa Wananchi wa Vijijini.
Orodha ya vituo vilivyoingiziwa fedha hii hapa chini.
ORODHA YA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VILIVYOPOKEA FEDHA
|
|||
KATA |
KIJIJI |
JINA LA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA |
FEDHA POKELEWA
|
Mtunguru
|
Mtunguru
|
Zahanati ya Mtungulu
|
46,600,000.00
|
Ziba
|
Bulumbela
|
Zahanati ya Bulumbela
|
27,580,000.00
|
Igunga
|
Igunga
|
Zahanati ya Igogo
|
27,600,000.00
|
Sungwizi
|
Sungwizi
|
Zahanati ya Sungwizi
|
28,850,000.00
|
Mwamashimba
|
Mwamashimba
|
Zahanati ya Mwamashimba
|
29,600,000.00
|
Itunduru
|
Itunduru
|
Zahanati ya Itunduru
|
44,850,000.00
|
Igunga
|
Igunga
|
Hospitali ya Wilaya Igunga
|
100,000,000.00
|
Igunga
|
Igunga
|
Zahanati ya Isugilo
|
27,850,000.00
|
Bukoko
|
Bukoko
|
Zahanati ya Bukoko
|
28,600,000.00
|
Ndembezi
|
Ndembezi
|
Zahanati ya Ndembezi
|
29,100,000.00
|
Mbutu
|
Mwabakima
|
Zahanati ya Mwabakima
|
28,600,000.00
|
Simbo
|
Simbo
|
Kituo cha Afya Simbo
|
38,600,000.00
|
Igulubi
|
Igulubi
|
Kituo cha Afya Igurubi
|
38,600,000.00
|
Choma
|
Choma
|
Kituo cha Afya Choma
|
28,500,000.00
|
Igunga
|
Igunga
|
Zahanati ya Mwayunge
|
10,000,000.00
|
Ziba
|
Ziba
|
Zahanati ya Ziba
|
18,000,000.00
|
Itumba
|
Itumba
|
Zahanati ya Itumba
|
34,000,000.00
|
Sungwizi
|
Ncheli
|
Zahanati ya Ncheli
|
24,600,000.00
|
Isakamaliwa
|
Isakamaliwa
|
Zahanati ya Isakamaliwa
|
26,600,000.00
|
Kining'inila
|
Mwanyagula
|
Zahanati ya Mwanyagula
|
25,100,000.00
|
Mwashikumbili
|
mwashikumbili
|
Zahanati ya Mwashiku
|
53,050,000.00
|
Ugaka
|
Mwakabuta
|
Zahanati ya Mwakabuta
|
37,300,000.00
|
Nguvumoja
|
Mwanshoma
|
Zahanati ya Mwanshoma
|
54,050,000.00
|
JUMLA KUU |
|
807,630,000.00
|
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa