• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

HAKUNA MWANANCHI KUCHAGIA UJENZI WA MADARASA,Dkt SAMIA ANATOSHA

Tarehe iliyowekwa: April 12th, 2023

Jumla ya shilingi million 402 zimepokelewa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kutoka Serikali Kuu 2022/2023 kwa ajili ya kujenga Nyumba za walimu na Madarasa shule za Msingi.Kaimu Mkurugenzi Bw;Joseph Sambo,amesema Fedha hizo zinazoletwa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe; Rais Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kuwa Fedha hizo zimeleta mageuzi makubwa ya kimaendeleo kwa kuondoa tatizo la Vyumba vya Madarasa,na Nyumba za Walimu.Bw; Sambo amesema anapokuwa kwenye ziara za kukagua ujenzi wa Madarasa na Nyumba za Walimu,hukutana na wananchi ambapo hupokea shukrani nyingi kutoka kwa wanachi wakiishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuwaondoleya michango ya ujenzi wa Madarasa suala ambalo limewasukuma wananchi kila wapokutana na Kaimu Mkurugenzi hawakusita kuonesha furaha zao kwa Serikali.

Shule zilizopata Fedha mwaka huu wa Fedha 2022/2023 ni hizi zifuatazo;

JIMBO 

KATA 

NA

JINA LA SHULE 

MIRADI

IDADI YA MIUNDOMBINU

KIASI CHA FEDHA 

IGUNGA
IGUNGA

1

Ujenzi wa Uzio
Ujenzi wa Uzio

1

30,000,000.00

IGUNGA
MTUNGULU

2

Mtungulu (Maguguni)
Matundu ya vyoo

10

11,000,000.00

IGUNGA
ITUMBA

3

Mhamammoja
Matundu ya vyoo

10

11,000,000.00

MANONGA
USWAYA

4

CHALAMO
Nyumba ya mwalimu

2

50,000,000.00

MANONGA
IGOWEKO

5

SELEGEI
Nyumba ya mwalimu

2

50,000,000.00

IGUNGA
MTUNGULU

6

MWAJINJAMA
Nyumba ya mwalimu

2

50,000,000.00

IGUNGA
LUGUBU

7

MIGELELE
Nyumba ya mwalimu

2

50,000,000.00

MANONGA
CHOMA

8

CHAMALENDI
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa

2

25,000,000.00

MANONGA
MWASHIKU

9

MATINJE
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa

2

25,000,000.00

MANONGA
CHOMA

10

CHIBISO
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa

2

25,000,000.00

IGUNGA
NANGA

11

IGOGO
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa

2

25,000,000.00

MANONGA
SUNGWIZI

12

SUNGWIZI
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa

2

25,000,000.00

MANONGA
SUNGWIZI

13

NCHELI
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa

2

25,000,000.00

JUMLA 

402,000,000.00

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MHE. DC. SAUDA MTONDOO AWATAKA MADIWANI KUTEMBEA KIFUA MBELE UTEKELEZAJI ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IGUNGA

    May 16, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO APIGA MARUFUKU KUWEKA MAJI, MAWE NA MCHANGA LAINI KWENYE PAMBA

    May 16, 2025
  • DED IGUNGA AWATAKA WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI KUDUMISHA UADILIFU BUSARA NA HEKIMA KUWAHUDUMIA WANANCHI

    May 10, 2025
  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa