• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

Utumishi

Idara ya Utawala na Utumishi ni Idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ambayo kwa ujumla wake inasimamia Idara na vitengo vyote kwa masuala ya kiutumishi ambayo yako kwa mujibu wa sheria, taratibu, kanuni na miongozo mbalimbali ya utumishi wa Umma. Hii ni katika kuhakikisha kuwa watumishi waliopo kwenye Halmashauri wanawajibika kikamilifu na kwa ufanisi na hatimaye kuleta tija katika jamii wanayoihudumia.

Majukumu ya Idara ya utawala 

  1. Kusimamia masuala yote ya ajira za watumishi katika Halmashauri ya Wilaya
  2. Kusimamia kuthibitishwa watumishi kazini na upandishwaji vyeo watumishi kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
  3. Kutafiti uwezekano wa upatikanaji wa mahitaji ya watumishi
  4. Kuhakikisha watumishi wanapata stahiki za msingi na haki zao kazini
  5. Kusimamia upimaji utendaji kazi wa wazi (OPRAS) ambao ndio mfumo unaotumika kupima utendaji kazi wa Watumishi wa Umma
  6. Kuandaa makisio ya Ikama na mishahara ya Watumishi
  7. Kushughulikia malipo ya watumishi wanapostaafu, wanapofariki pamoja na kuacha kazi
  8. Kusimamia kuendeleza watumishi kwa kuwapatia mafunzo mbalimbali, mafunzo mahala pa kazi, mafunzo ya muda mfupi na mafunzo ya muda mrefu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHA SHAMBA LA BULYASHIRI LINALOMILIKIWA NA H/W IGUNGA October 03, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI IGUNGA DC September 05, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI MAALUMU YA KUKUSANYA USHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA August 24, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 24, 2020
  • View All

Habari Mpya

  • JOGGING PAMOJA NA MAZOEZI

    March 05, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA MWAKA 2023/2024

    March 05, 2023
  • Mh.Mkuu wa Wilaya Igunga Akabidhi Pikipiki Saba kwa Watendaji wa Kata Wilayani Igunga

    March 01, 2023
  • ZIARA YA KATIBU UENEZI CCM TAIFA WILAYA YA IGUNGA

    September 13, 2022
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa