Wananchi wa Wilaya ya Igunga mnatangaziwa kuwa tarehe 25 Machi, 2017 ni Jumamosi ya mwisho wa mwezi ya usafi Kitaifa.
Hivyo wananchi wote mnatakiwa kujitokeza kwa wingi siku hiyo.
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa