WATUMISHI WOTE NA WANANCHI KWA UJUMLA, MNATAARIFIWA KUWA KESHO NI JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI YA TAREHE 24/06/2017. NI SIKU YA UFANYAJI USAFI, HIVYO KILA MWANANCHI ANATAKIWA KUFANYA USAFI KWENYE MAKAZI, ENEO LA BIASHARA NDANI YA WILAYA IGUNGA. KWA WALE WA MAKAO MAKUU YA WILAYA WANATAKIWA KUFIKA SAA 1 ASUBUHI ENEO LA STANDI KUU YA MABASI KWA AJILI YA KUFANYA USAFI NA WAFANYA BIASHARA WOTE WA STANDI YA MABASI NA MAAJENTI WA MABASI MNATAKIWA KUFIKA NA VIFAA VYA KUFANYIA USAFI
LIMETOLEWA NA
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa