Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri anawaalika wananchi wote kuhudhuria Mkutano wa Baraza la madiwani utakaofanyika tarehe 28, Aprili 2019 katika Ukumbi wa Halmashauri.