Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga anawatangazi wananchi wote kuwa kutakuwa na kikao cha Baraza la Madiwani kitakachofanyika siku ya Alhamisi tarehe 3 Agosti, 2017 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Igunga saa 4:00 Asubuhi.
nyote mnakaribishwa kuja kusikiliza.
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa